Hapa ni katika viwanja vya Mwanga Community Centre Kigoma Mjini
Mama Regina Lowassa atembelea wanawake Tabora. Ujumbe aliotoa ni "Tunaweza wanawake kufanya mabadiliko 2015"
Mama Lowassa naeyeye yupo mkoani Tabora akihamasisha wanawake wenzake kufanya kweli Oktoba25 kuichagua CHADEMA
Lowassa akimnadi mh.Davidi Kafulila muda huu katika viwanja vya Mwanga Community Centre
Mama Regina Lowassa atembelea wanawake Tabora. Ujumbe aliotoa ni "Tunaweza wanawake kufanya mabadiliko 2015"
Mama Lowassa naeyeye yupo mkoani Tabora akihamasisha wanawake wenzake kufanya kweli Oktoba25 kuichagua CHADEMA
Lowassa akimnadi mh.Davidi Kafulila muda huu katika viwanja vya Mwanga Community Centre
1."Tunaamin kwamba ukichaguliwa kuwa Rais utakwenda kutupatia Katiba ambayo itakuwa inatujali wananchi #SalamuzaKigoma #Mabadiliko2015
2."Wanasema lengo la upinzan ni kuua Muungano, watu Wa hivyo inatakiwa muwabeze kwani sio kweli" #SalamuzaZanzibarKigoma #Mabadiliko2015
3."Kuna watu wanadanganyika eti Kigoma itatikisika, wanadanganyana, upinzan Kigoma itaendelea kuwa ngome ya upinzan" Kafulila Kigoma
4.Meli ni moja Kigoma ya MV Liemba ina umri Wa miaka zaidi ya 100 ambayo inawaunganisha watu Wa Kigoma na Zambia #Shame #Mabadiliko2015
5."Ccm haiwezi kutoka madarakani nje ya UKAWA, Rais ni @edwardlowassatz wasiokubali watapata ugonjwa wa moyo tu" Kafulila #Mabadiliko2015
6.Jeshi
la polisi msitumike, kipindi hiki tufanye kazi bila upendeleo, tunajua
mnamatatizo ya mikopo, tunajua mnadai malimbikizo - Masha
7."Tunaamin watu Wa Kigoma mnaungana na Tz nzima ktk kuleta Mabadiliko nchini kwa kushirikiana na @edwardlowassatz - Mbowe #Mabadiliko2015
8.Na nia ya kuleta Mabadiliko ktk Tanzania, elim itakuwa bure sitaki kusikia habar ya michango, nitaondoa ushuru ktk kilimo" @edwardlowassatz
9.Ujenzi wa bandar ya Kigoma nitaitengeza iwe ya kisasa, viwanda vya mawese vijana wapate ajira Kwa sabab kuna tatizo ajira @edwardlowassatz
10.Swala la maji nimesikia, niliweza kutoa maj ziwa Victoria nitashindwa haya yapo mlangoni @edwardlowassatz - Kigoma #Mabadiliko2015
"Slaa, Lipumba pumzikeni kwa amani mabadiliko yapo palepale" Mkazi wa Kigoma