[VIDEO]TAZAMA VIDEO YA MZEE WA UPAKO NAYE AKIONYESHA ISHARA YA MABADILIKO HAPA LIVE
Duuh! Mwaka huu CCM wana Kazi kweli kweli, hadi Mzee wa Upako anataka Mabadiliko?! Lakini tuachane na hayo, mimi binfsi nimekubali sana Maneno aliyosema jana ambayo hayafungamani na Upande wowote... Nimekuwekea Video hapa chini live kabisa