Thursday, October 1, 2015

BREAKING NEWZZ....Ndege ya kivita ya JWTZ yaanguka baharini, wanajeshi wawili wahofiwa kufa


 Muda mfupi uliopita (kama dakika 15 hivi) ndege yetu ya kivita imeanguka baharini na kusababisha vifo vya watu wawili. Lt. Col Ndongolo na Capt. Hamis waliokuwa kwenye ndege hiyo.

Ndongolo alikuwa mkufunzi na Hamis alikuwa rubani mwanafunzi.

Wavuvi wamebahatika kupata helmet zao tu.

Taarifa zaidi zitafuata

RIP Makamanda wetu

Ndege ya kivita ya Jeshi la Wananchi Tanzania inadaiwa kuanguka baharini muda mfupi uliopita na kusababisha vifo vya makamanda wawili
-Zimepatikana parachutes na helmet ila Makamanda wetu hawajapatikana, ndege pia imepatikana