Thursday, October 15, 2015

RAIS KIKWETE NA NEC WATOFAUTIANA TAKWIMU ZA WATAKAOPIGA KURA.

Katika hali ya kuendelea kutilia shaka mchakato wa uchaguzi Mkuu Oktoba. Leo Rais Kikwete akiwa kwenye maadhimisho ya "Nyerere day" kasema watu waliojiandikisha kwenye daftari la mpiga kura ni milioni 28.Wakati huo huo Tume ya Uchaguzi wanatuambia waliojiandikisha ni milioni 22,751,292.Nimekaa na kutafakari ni yupi tumwamini kati ya NEC na Rais?Na kwanini takwimu zitofautiane ingali zipo wazi?
By Kibo10/Jamii Forums