TAARIFA KUHUSU MKUU WA MAJESHI DAVIS MWAMUNYANGE FAMILIA WAFUNGUKA
Familiaa ya Mkuu wa Majeshi General Davis Mwamunyange imetoa kauli mara baada ya sitofahamu inayoendelea Mitandaoni Kuhusu Mkuu huyo wa Majeshi,Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa.Akizungumza kwa Niaba ya Familia Kaka Yake Davis Mwamunyange aamethibitisha Mdogo wake anaendelea na Majukumu yake yupo Nje ya Nchi na Anatarajiwa Kurudi Nchini siku za Karibuni
Ni baada ya taarifa kuzagaa mitandaoni juu ya kulishwa sumu kwa mkuu huyo.
Familia imesema anaendelea vizuri na yupo nje ya nchi kwa majukumu ya kitaifa.
Chanzo: Kaka wa Jenerali Davis Mwamunyange.
ITV