Wednesday, November 25, 2015
BASI UNAAMBIWA HII NDIYO TOP 1O YA NCHI ZINAZOONGOZA KWA KUWA NA MAJESHI IMARA ZAIDI DUNIANI.
Marekani ni nchi ambayo inaongoza duniani kwa kuwa na jeshi imara san.Hii ni kwa mujibu wa mtandao wa Global Firepower.Katika mchanganuo huu nguvu za nyuklia huwa hazijumlishwi kwa sababu ni kinyume cha makubaliano ya mashariti ya silaha za kivita.Majumuisho yote haya yako katika uwezo wa kutengeneza silaha bora zaidi za kivita za angani,ardhini na majini.Basi nimekuwekea hapa listi ya majeshi bora kwa mwaka huu unaoisha wa 2015
10. UTURUKI.
Uturuki inaungana na China pamoja na India katika kujaribu kuwa nchi yenye uwezo mkubwa kimajeshi.
9. JAPANI.
Utengenezwaji wa katiba mpya katika nchi ya Japani na katika kukuza jeshi tunaweza kushuhudia kukua kwa jeshi imara zaidi katika ukanda wa mashariki ya mbali.
8. UJERUMANI.
Ujerumani umekuwa ni kiongozi mkuu wa ulaya kiuchumi na imekuwa ni muhimiri mkubwa kiuchumi
7. KOREA YA KUSINI.
Kushirikiana kwa mpaka kati ya korea ya kusini na kaskizini,na kutokana na mahusiano yao kuwa mabaya kumeifanya korea ya kusini kutengeneza silaha kali za kivita kwa ajili ya tahadhali.
6. UFARANSA.
Ufaransa imeweza kutengeneza silaha kali sana za kivita,kwa sababu imewekeza sana katika kupambana na majeshi ya Afghanistan, Libya, Mali, na ISIS.
5. UINGEREZA.
4. INDIA.
3. CHINA.
2. URUSI.
1. MAREKANI.
Newer Post
Older Post
Home