Kwenye mtandao wa twitter jana usiku Kada wa CHADEMA Yericko Nyerere ambae anaaminika kwa kutoa taarifa za siri ambazo baadae zinakuja kuwa za kweli aliandika kuwa tayari CHADEMA wana matokeo ya nchi nzima na yanaonesha wamechukua ushindi.
Hii ndio tweet yake.