9. Priyanka Chopra
Huyu aliwahi kuwa miss wa dunia kutoka nchi ya India.Ni muigizaji pia ni muimbaji
8. Kate Upton
Huyu ni modo marufu sana anayefanya shughuli zake katika nchi za Uingereza na Marekani
7. Taylor Swift
Muimbaji pia mwandishi wa nyimbo mbali mbali kutoka Marekani.Anajulikana kwa kutunga nyimbo ambazo zinazungumzia maisha yake mwenyewe.Amesha shinda tuzo nyingi sana za mziki zikiwamo Gramy ambazo anazo 7.
6. Gal Gadot
Huyu ni binti mrembo sana ambaye aliwahi kuwa miss Israel.Pia kwa wale wanaopenda kuangalia series ya Fast and Furious anajulikana kama Gisele Yashar
5. Emma Watson
Huyu ni binti mrembo sana kutoka Uingereza kwa waliokwisha kuangalia muvi ya Harry Potter,kwa sasa anajishughulisha na masuala ya Umodo pamoja na Uigizaji
Huyu ni binti mrembo sana kutoka Uingereza kwa waliokwisha kuangalia muvi ya Harry Potter,kwa sasa anajishughulisha na masuala ya Umodo pamoja na Uigizaji