Katika Ukurasa Wake wa Facebook Lowassa ameandika Haya Kuhusu Kifo cha Mwenyekiti wa Chademe Mkoani Geita:
"Nimeshtushwa na kusikitishwa na taarifa za msiba wa kijana wetu Alphonce Mawazo, Natoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki pamoja na familia yetu ya UKAWA.Hakika tumeondokewa na mpiganaji."