Siku kadhaa nyuma niliweka Uzi unaosema Hussein
Mafisi analindwa na nani?
Kwenye Uzi huo nililalamika ni nani anayemlinda
Hussein Mafisi muuza madawa maarufu Mwenge.
Leo muda wa saa 9 na dakika 45 amekamatwa. Gari
tatu za Polisi zilifika Dukani kwake na kubeba
mateja wote waliokuwepo na Hussein wenyewe..
Hii ni mara ya kwanza kukamatwa, daima
hukamatwa mateja na yeye huachwa, lakini Leo
kakamatwa. Nitasikitika Sana kama nitamkuta tena
jioni akiendelea na biashara yake.
Magufuli kata Hii network ya wauza unga..