
Picha za mastaa wakali wa Bongo Movies, Wema Sepetu na Patcho Mwamba zilizosambaa mtandaoni wakiwa kwenye mapozi mtamu matamu yakiwaonyesha kama ni wapenzi zimekuwa kivutio miongoni mwa mashabiki wao. Picha hizo ni picha za promo ya filamu yao mpya ya Chungu cha Tatu inayotarajiwa kuingia sokoni siku chache zijazo.
Chungu cha Tatu imetayarishwa na kutengenezwa chini ya kampuni ya Jerusalem Filims.