Monday, November 23, 2015

PICHA Mbili za Mwigizaji Ray zilizozua Maneno Maneno Huku Instagram...Mashabiki Wampa za uso laivu

Ray kawa Mzunguu Revolution of a man
Kama Ni pesa basi 50cent angekuwa Na rangi
ya mfupa
Comments za Baadhi ya Mashabiki wake hizi
Hapa chini:
kebbyrogers
Hivi huyu si mtoto wa kiume huyu
au........��
dorin_onesmo
Anatumia vpodoz vya mpnz wake chuchu 1h
kikiedwin
Hereni za nini vaeni zile za kimasai msiige
wazungu
hamdansd11
Kajichubua kawa mzuri kama lulu na wema
hanceblicks
Huyu sasa ata kuwa mwanaume wa kwanza
kubeba mimbaaa
6750_jay
Ndio Mabadiliko aliyokuwa anatafuta ana
utofaut na wanawake wakeko wenzao
washindana kupata pesa na degree kuongeza
vyetu wenyewe wanashindana kuwa weupe
james_turuka
MWEUSI ATABAKI MPOKI TU
gmbega
Hii aibu, dume zima, au linatangaza biashara?
stara_gal Njoo umuone Ray kabadili housing
@ashmanreal