Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Africa, mtanzania Nalimi Mayungaaliwasili nchini Marekani toka November 17 2015 kwa ajili ya kufanya kolabo na mwimbaji Akon, video ikimuonyesha akiwa na Akon nyumbani kwake huko Los Angeles ndio hii hapa chini.
Mayunga atapita hapa pia kuona mashabiki wake wanasema nini, una chochote cha kumwambia?