Sunday, November 29, 2015

Video mbili kujikumbusha moto wa Rais Magufuli enzi hizo akiwa Waziri wa Ujenzi..

Hizi ni sehemu ya video chache nilizozipata zikimwonesha Rais John Pombe Magufulienzi hizo akiwa kwenye nafasi ya Uwaziri… nakumbuka baadhi ya majina ambayo aliwahi kuitwa wakati wa Kampeni za uchaguzi mkuu Tanzania ikiwemo jina la ‘Tingatinga’ na‘bulldozer’ !!
Kwenye video hizi utaona kwamba ishu ya ziara zake za ghafla hajaianza baada ya kuingia Ikulu, toka enzi hizo akipiga mzigo kama Waziri alikuwa na moto huohuo yani…

Video nyingine hii hapa, Rais Magufuli enzi hizo kwenye Uwaziri wake akibanana na wafanyakazi wa mizani.