Shilole alivyoifanya party isiyo na jina nyumbani kwake (video)
Msanii wa bongofleva December 28 2015 alifanya party nyumbani kwake lakini akasema party hiyo ambayo imefanyika kwenye huu mwezi ambao ni mwezi wake wa kuzaliwa haina jina, unaweza kutazama ilivyokua kwenye hii video hapa chini.