Membe anakuwa mwanasiasa wa kwanza mwandamizi kutoka chama tawala kuonesha waziwazi kutoridhishwa na uamuzi wa kufutwa kwa uchaguzi huo wa Rais wa Zanzibar, wawakilishi na madiwani ambao ulifanyika sambamba na uchaguzi wa Rais wa jamhuri wa Tanzania, wabunge na madiwani wa bara na visiwani.
Kinachoshangaza dunia si kuahirisha uchaguzi bali kufuta matokeo ya majimbo yote, alisema mwanadiplomasia huyo.

Kinachoshangaza dunia si kuahirisha uchaguzi bali kufuta matokeo ya majimbo yote, alisema mwanadiplomasia huyo.