Tuesday, January 26, 2016

PICHA ZA WASTARA AKIFANYA MAZOEZI HUKO INDIA


wastara354
Training zinapoamia barabrani india lazima uisome number kuna mawili Maskio kuziba kwa honi za magari na pikipik au kuludi umepigwa pasi za mwili-Wastara

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma ambaye yupo  nchini India kwa matibabu amebandika picha hizi kwenye ukursa wake mtandaoni akiwa anafanya mazoezi ya kutembea kama anavyonekana hapo chini
wastara44
2 kilometer zinatosha kwa leo
wastara3421
With my trainers-Wastara
wastara12


Post Tagged with