Monday, February 15, 2016

Picha Hii Ya Mwanaharakati Joyce Kiria Yazua Gumzo Mtandaoni..Matusi Yamiminika Angalia Hapa


Joyce Kiria Super Woman ametupia picha hii kwenye ukurasa wake wa Faceboook na kuandika ujumbe huu hapa chini...


"Asanteni kwa dua zenu wote mnaoendelea kunijulia hali kwa njia mbalimbali, Leo nimerudi hospital kuchek mguu maana bado nina maumivu,!! nikaambiwa nisifunge tena mguu, pia niiweke juu juu wakati wa kukaa au kulala ili damu irudi nyuma, pia kuna dawa naendelea nazo, hakika nitapata nafuu haraka kwa uwezo wa Mungu.... 

kiukweli binadam uzima ndo utajiri mkubwa sana kuliko hata mali tunazotafuta! Natamani uzima tuu wala sina shida na mapungufu ambayo kuna mburulaz hapa wanapigapiga mayowe wakati mimi najiona niko muzuri sana, sina dosari yeyote, namshukuru mungu wangu kwa alivyoniumba.... sina kasoro yeyote and am so greatful and thankful kwa jinsi nilivyoumbwa...

Anaeona sijakamilika aniongezee anapopaona pamepungua mxiuuuu..."