Wednesday, February 3, 2016

SAMATTA : MAISHA YA HUKU NI TOFAUTI KWA KILA KITU HADI MSOSI

Mtandao huu ulitaka kujua jinsi gani kuna utofauti katika maisha ya Mshambuliaji wa Tanzania Mbwana Samatta ambaye anakipiga nchini Ubelgiji katika klabu ya Genk ukilinganisha na alivyokuwa Tp Mazembe ya DRC Congo.
Mtanda huu uliamua kumtafuta kwa kutumia mtandao wake wa Facebook na kufanikiwa kupiga nae stori ambapo alikiri maisha ya ulaya ni tofauti na ya bongo kwa kila kitu mpa chakua
Samatta alimjibu mwandishi wa mtandao huu yafuatayo
“Maisha ni tofauti kwa vitu vingi vyakula, baridi Maisha ayawezi kufanana wanaocheza soka tz wengi wana vipaji wanaitaji kuja kucheza ulaya wanaweza”amejibu Samatta katika ukurasa wake wa Facebook