Siri Ya Urembo Wa Zari Yabainika...Hufanya Hivi Ili Aendelee Kuwa Mbichi Japo Ana Watoto Wanne
Zari
Mtu wa karibu wa Zari Hassan Ametupenyezea siri ya Zari kuendelea kuwa
mrembo japo ana watoto wanne kuwa ni mazoezi na kula vizuri...Anasema
kila asubuhi na jioni lazima aingie Jimu japo bado ananyonyesha na
kuzingatia vyakula anavyokula