Nay wa mitego
Nay wa Mitego Amafunguka Haya Katika Ukurasa wake wa Instagram:
"Pale unaposikia eti kuna wasiopenda kuambiwa Ukweli wamezusha Eti Wimbo wa ShikaAdabuYako Basata wamefungia.
Guys Wimbo haujafungiwa na Basata awajafungia Wimbo ila wale wenye Team
zao kwenye mitandao wamechanwa kwenye #ShikaAdabuYako ndio wameufungia
kwenye Masikio Yao sababu ya hawataki kusikia fact wame publish habari
za kufungiwa. Ata ingekua kweli umefungiwa wamechelewa sanaaa coz mpaka
Panya wanajua tayari #TrueBoy keshakiwashaaaaa"