Monday, February 1, 2016

VIDEO: TAZAMA HAYA MAGARI YALIVYOZAMA KWENYE MAJI BAADA YA HIKI KIVUKO KULEMEWA NA MZIGO MZITO

Ajali za vivuko inawezekana sio vitu ambavyo tumevishuhudia sana kuliko ajali za magari lakini ni kiukweli ni ajali nyingine zinazotisha na kuumiza kuona mali na watu wanavyoweza kupoteza maisha ndani ya sekunde chache tu, kama wewe ni muoga wa kuona mtu anazama kwenye maji basi usiitazame hii video hapa chini.
Imekua ngumu kufahamu hili tukio limetokea nchi gani lakini lengo ni kutukumbusha kuwa na tahadhari zaidi kwenye maeneo kama haya ikiwa ni pamoja na kuvaa life Jacketkujiepusha na chochote kinachoweza kutokea kwenye mazingira ya kutisha kama hivi.