Wengi walipoona picha ya mwanamuziki wa bongo fleva Nasib Abdul aka Diamond Platnumz aliyoipiga na mwanamuziki nguli wa rap kutoka Marekiani rapper Kanye West wengi wametamani kuona kuwa msanii wetu anafanya kazi na mwanamuziki huyo kwa kuangusha comment zao za kumpongeza kwa namna anavyo jituma kujitangaza.
Tupia comment zako hapo chini kuwa unaona inawezekana kwa Diamond Platnumz kufanya ngoma ya pamoja na rapper Kanye West