Saturday, April 9, 2016

Mbwana Samatta Afanya Mambo Tena Genk Usiku wa Jana....Tazama Hapa Video ya Goli Alilofunga

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta Usiku wa Jana ameifungia goli la 3 klabu ya krc_genk_ katika ushindi wao 4-0 dhidi ya Oostende

Tazama Hapa Goli Alilofunga..


Mbwana Samata Goal HD - Genk 3-0 Oostende -