Siri Ya Ole Sendeka Kupata Ziro Form Six Old Moshi Sec Sasa Hadharani....Ni Baada Ya Kumtaka Lissu Arudi Shule
===================
Baada ya Ole Sendeka kumtaka Lissu kurudi darasani eti shule yake bado sana.
Katika pitapita zangu sehemu fulan nikaona mdau mmoja akisema kua mbona yeye alipata div 0 pale Old Moshi Sec?.
chanzo:jamiiforums