Tuesday, April 5, 2016
Tanzia: Mwenyekiti Wa CHADEMA Mkoa Wa Iringa, Sinkala, Apata Ajali Na Kufariki
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Iringa, Sinkala Mwenda amepata ajali jioni ya leo eneo la Tanangozi.
Amekimbizwa hospitali lakini kafariki dunia usiku huu.
Newer Post
Older Post
Home