Monday, May 19, 2014

ANAYOYAFANYA NISHA HAKIKA MASTAA WENGINE HAWAWEZI....SOMA ZAIDI


 Muigizaji wa filamu mwenye jina kubwa nchini  Salma Jabu Nisha hajulikani tu kwa kazi zake za filamu bali anajulikana pia kwa kujitoa katika matukio mbalimbali ya kijamii ikiwemo


kusaidia  wasiojiweza na watoto yatima mara kwa mara  kitu ambacho hufanywa na wasanii wachache sana
. Jana katika msiba wa msanii mwenzake Adam Kuambiana, muigizaji huyo aliweka u-star  wake pembeni na kujitosa kupika maandazi
kama anavyoonekana pichani.