BREAKING NEWZ : MSIBA BAADA YA MSIBA BONGO MOVIE, DAH NI VILIO NA MAJONZI
Rachel Haule ‘Recho' enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho,’ amefariki dunia asubuhi hii. Marehemu amepoteza maisha mara baada ya kujifungua. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!