Baada ya yule mwanafunzi wa chuo kujirekodi akisema shule imemshinda bora tu aolewe bure na mwanaume lakini awe na pesa kupigwa chini CHUO (inasemekana lakini).....Mwanadada Diva the Bawse, mtangazaji waCLOUDS FM ameibuka na kushangazwa na kitendo cha mwanafunzi huyo kufukuzwa chuo....
Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, DIVA aliweka picha na video clip hiyo na kuandika hivi; "khee?! Kwani mtu akiwa Malaya anajiuza kuna sheria ya kumfukuza chuo?!"
Hii hapa Ndio Post Yenyewe
Video Yenyewe ya Mdada Hii Hapa::
<<<<<BOFYA HAPA KUONA IYO VIDEO>>>>