Hii imetokea leo Ijumaa 11/4/2014 huko Austin, Texas ambapo Raisi Obama pamoja na Mke wake Michelle walikua na ziara ya Kumtembelea maktaba ya Raisi na pia kusherekea sherehe za miaka 50 ya Haki, Wakiwa ndo wanapanda ndege kuondoka Austin baada ya Ziara hio, Obama na Mke wake walikua wanapanda ndege pamoja ndipo upepo mkali ulipokuja na kufunua sketi ya Mke wa Obama, Michelle Obama ila raisi huyo wa Marekani, Obama aliweza kumstili mke wake kwa kuishika sketi ili upepo usimuaibishe mke wake huyo...
Swala hili limetokea mara nyingi kwa watu maarufu, Mtu maarufu ambae hukutwa na mkasa huu sana ni Kate Middleton ambae ni mke wa mwana-mfalme wa Uingereza, George alipatwa na mkasa huu mwaka 2011,
hapo juzi mke wa mwana-mfalme George wa Uingereza alipatwa na mkasa huo wakati akiwa anashuka kwenye ndege walipiokua na ziara nchini New-Zealand (Kwa picha za Kate Middleton shuka chini)
Kate Middleton mwaka 2014 huko New Zealand |
Kate Middleton mwaka 2011 |