Monday, May 19, 2014

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MKOANI MBEYA

Wakazi wa eneo la Makunguru jijini Mbeya wakiwa wamesimama nje nyumba iliopo kwenye eneo hilo ambayo imepatwa na dhahma ya kuungua moto na kuteketea kwa mali zote zilizokuwemo ndani ya nyumba hiyo  kutokana na kinachosadikiwa kuwa ni hitilafu ya umeme.
Sehemu ya mali zilizokuwemo kwenye nyumba hiyo zikiwa zimeteketea zote kwa moto huo.
Majirani wakichungulia  kupitia dirishani kuona namna moto ulivyoteketeza mali zilizomo kwenye nyumba hiyo.