Picha 19 za show ya KILI TOUR Moshi Kilimanjaro May 24 2014...BOFYA HAPA KUZITAZAMA ZOTE!!
Ni show ambayo ilifanyika kwenye uwanja wa Ushirika Moshi Kilimanjaro na kuhudhuriwa na idadi kubwa ya watu wa nguvu wanaosupport bongofleva kuona list ya wakali akiwemo Ommy Dimpoz, Ney wa Mitego, Profesa Jay, WEUSI, Ay na FA,