Friday, May 23, 2014

TAZAMA PICHA 5 HOT ALIZOTUPIA AGNES MASOGANGE INSTAGRAM!!

Dada yetu leo ameshare nasi picha hizi akiwa anapata chakula cha mchana na DADY wake...HATARI SANA.... ameandika;


With my dady lunch
Kilichonipagawisha ni mavazi na pozi za kula Lunch na DADY......... au ni Dady kwa maana yakulea na sio.........Mbali na hayo turudi kwenye ishu ya msingi ambayo ni Masogange mwenyewe....Daaah jamaani ila Masogange ana UMBO MATATA SANA....yaaan yupo full kama wasemavyo watu wazima.....Umbo lake ndio mtaji wake kama TZ na Kilimanjaro kwenye Tourism Sector.