Friday, May 23, 2014

VIDEO:BINTI WA CHUO TANZANIA ALIYEJIREKODI ANACHOSHWA NA CHUO NA ANATAFUTA BWANA MWENYE HELA AMUOE NA KUSAMBAZA VIDEO HIYO,INADAIWA KAFUKUZWA CHUO....SOMA ZAIDI NA VIDEO HIYO ILIYOMPONZA

Baada ya kusambaa kwa video ya mwanafunzi wa chuo aliedai kuchoka na shule mtandaoni na katika meseji fupi za whatsapp,leo kuna uvumi ulitokea kua binti huyo amefukuzwa chuo na blogs kadhaa zilinukuliwa zikisema "Tue makini kwa video tunazopost" na kuongeza kua binti yule aliepost ile video kafukuzwa chuo kwa sababu ni malaya....!!!!!

Binti kajitokeza na kusema kua hajafukuzwa chuo na kuomba wanaozusha waache kufanya hivyo wafanye mambo yao,pia alifikisha ujembe huo kupitia status ya whatsapp katika simu yake kama inavyoonesha hapo chini.Kwa mujibu wa chanzo chetu bado haijafahamika mara moja kama binti huyo alikua anafanya utani ama alikua serious na haijafahamika pia kama kweli kafukuzwa chuo ama bado yuko chuoni.....!