Tuesday, June 24, 2014

ANGALIA WADADA HAWA WANAVYOUMIA KWA KUJIDUNGA SINADANO ZENYE CREAM YA KUBADILI NGOZI ZAO

Kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni..! wadada hawa wamekubali kupata maumivu makali ili kudungwa sindano zenye cream za kulainisha ngozi na kuwafanya wawe na rangi ya kuvutia kwa mabwana zao.

Wadada hawa wanatumia cream hii ambayo huingizwa kwenye miili yao kwa kuchomwa na sindano ambayo gharana yake ni dola za kimerekani 70.

Angalia picha zaidi hapo chini