Tuesday, June 3, 2014

SINTAH AMPA MAKAVU LIVE IRENE UWOYA JUU YA PENZI LAKE NA MSAMI

Blogger Sintah Amemchana Irene Uwoya baada ya Picha zake za Mahaba kusambaa Akiwa na Kiserengeti Boy cha THT.
Jisomee Alichosema Sintah
"Katika dawati letu hatusemi mengi zaidi ya kusema Irene, Irene, Irene??? why?

this is what we call jumping from the frying  pan into the fire, if i were you (Irene) would remain single for a while..... 

hivi bila kuonyesha mahaba hadharani ndio hupendwi vile? mmmmh au ndio tujue mwenzetu umezama katika dimbwi la mahaba sasa tukuwacheee....

Je wewe mdau una la kuongeza hapo??" Sintah