Monday, June 30, 2014

VIDEO JINSI KILIVYONUKA:WIMBO MPYA WA BEN POL WALETA MTAFARUKU KATI YA ADAM MCHOMVU NA FETTY.



Baada ya kuutambulisha wimbo mpya wa Ben Pol "Upendo" exclusive kupitia kipindi cha XXL kinachoendeshwa na B12, Fetty na Adam Mchomvu, kumetokea na ubishani kati ya Adam na Fetty juu ya wimbo huo ambao unamuonekano tofauti na jinsi alivyozoeleka Ben Pol 
 
Huku Fetty akiusifia na kuona ni wimbo wenye tofauti nzuri ambao una mahadhi ya bolingo na hata kusema ni fusion zinazotakiwa kwa sasa, Adam alionekana kuto kukubaliana nae na Ben Pol na kudai ni wimbo ambao sio mzuri kulinganisha na nyimbo zilizozoeleka kutoka kwa Ben Pol...