ANGALIA PICHA ZA UWANJA MPYA WA YANGA UNAOTARAJIWA KUJENGWA HIVI KARIBUNI
Uwanja mpya utakavyokuwa baada kujengwa Makao Makuu ya Yanga katika mitaa ya Jangwani na Twiga, Dar es Salaam. Eneo ambapo Uwanja wa Yanga utakapojengwa uwanja huo mpya Hali inavyokuwa kwa kugeuka bwawa Jangwani mvua inaponyesha DarUwanja mpya utavyokuwa unaonekana wakati wa usiku