BOB JUNIOR AANZA USHOGA:SASA AANZA KUTUMIA LIPS STICK
Kwenye picha mbalimbali za Bob Junior kwa wafatiliaji wamedai kuwa anapaka rangi ya mdomo [Lipstick] leo July 08 Soudy Brown kaongea na Bob Junior na amekubali kusema sababu kubwa ya yeye kupaka rangi hizo za mdomo.