Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua Msanii Manaiki Sanga a.k.a The Don ameibuka na kumuumbua vibaya msanii mwenzake Diana Kimario ambae siku za hivi karibuni amekuwa akijitangaza kama yeye ni bikra yani hajawahi kuguswa na mwanaume kwa kushiriki tendo la ndoa.
Jambo hilo limepingwa vikali na Manaiki ambae anadai ameishi na Diana kama mkewe zaidi ya mwaka na nusu huku Mamaake Diana anaeishi Manzese akiwa shahidi namba mjoa.
Akiongea na paparazi Tanzania Manaiki Sanga alisema" Huu ni uongo uliokithiri huyu demu amewadanganya watanzania yani anasema yeye bikra? Au bikra ya wapi huenda sijaelewa mie?
Lakini kama suala la mapenzi ya kawaida mimi nathibitisha kuwa hana ubikra wowote amewahi kuwa mke wangu zaidi ya mwaka mmoja na ilikuwa nimuoe kabisa lakini nilikuja kuchemka mwenyewe" Alisema Manaiki.