Thursday, July 3, 2014

KWELI POMBE SIO SUPU...YAMTOKEA PUANI DADA HUYU BAADA YA KULEWA CHAKARI..AFANYIWA KITU MBAYA SANA!!

Wadada bhana mnazidi kutushangaza sisi waungwana hivi inakuaje unapiga mitungi mpaka kiasi unashindwa kutembea kabisa, ni ofa ndo zinakuchanganya ama nini jaribuni kupiga soft basi maana pombe kali hamziwezi wachie wanaume ,,,, sasa huyu bahati nzuri kakutana na msamalia mwema kamsaidia ... angekuwa si huyo waune bila shaka wangejisevia kiroho safi.. dah kuweni makini dada zetu jamani