Hii tabia ya kupiga mitungi bila kipimo jamani muiache kina dada, mwanamke mzuri ni yule ambaye hanywi pombe a anaagiza anaknywa nyumbaniau hakubali kunywa pombe bila boy wake kuwa karibu kwani akilewa jamaa atamhakikishia salama wa kutosha, sasa ta zama huyu dada aliyelewa na kuanza kujikojolea oyo hku yeye mwenyewe akiwa hajui anachokifanya, chode jamani ulevi nomaaaaaaaa