Thursday, September 4, 2014

DIVA WA CLOUDS FM BAADA YA KUSAKAMWA UMBO LAKE AAMUA KUPIGA PICHA NA NGUO YA KULALIA AKIONYESHA MATAKO YAKE


Daaah hii kali sana.....Diva wa Clouds FM leo hii kupitia mtandao wa INSTAGRAM ameshangaza wengi na kuwapa chakusema wale wanao mponda kuwa ana UMBO bovu yani baya......na huwa ana EDIT picha zake....
Sasa leo ameibuka INSTAGRAM na kuanza bwaga picha kama ifuatavyo;
Alianza na hii;

 " Still on My Night Dress....ohhh Diva hana shepu..anaweka sijui nini Oh this and that...haya Jamani.....kuna siku nitavua kabisa na nguo Mkantazey hahaa...Natania tu. Sicky day mnajua sie wenye Upasuaji katika miili yetu...kukiwa na Mawingu...hatuko sawa. Maumivu kidogo ya tumbo nayasikilizia ...."
Akaweka na hii;
 "Na tuna mifuko na bukta yetu ya kuwekea simu lol....yes man. Dis is my fave bukta of all time ������ hihiii.....�� ku edit rahisi eeh haya edit na wewe tuone ...siku njema. Team diva watahangaika na nyie. Kuwajibu leo ndio siku ya mwisho i guess....dstv time now...sicky me ...and i miss @ummykitwana hapa mtanga mwenzangu..njoo mbezi beach tuyajenge maisha mammy..... mipango miji. Mipango tele ya events zetu"

Akaweka na hii;
 


"Ya Mwisho for the day...haya sasa. Ninemalizaaaaaaaaaa...������ das not herrrr ...hehee kumbe bibi ako huyu. Huwa mnahisi niko ka fimbo nini? Fyi nina mguu nina hilo tako saizi yangu ...mengine malizia na nina hizo tattoo ndio na nyingine zinakuja ka rihanna vile..njo vileeeey. Semeni yote mkimaliza sign out. Niko nalala"