Thursday, September 11, 2014

Hii ni kwa wale Wanafunzi waliotaka kujiunga na vyuo vikuu Tanzania..na List ya Majina ya Wanaotakiwa kuapply upya ipo hapa

Students 1Kwa ufupi ni kwamba Tume ya vyuo vikuu imetangaza kwamba Wanafunzi wapatao elfu 12 wanaotaka kujiunga na elimu ya vyuo vikuu Tanzania wamekosa nafasi za kujiunga na vyuo hivyo kwa sababu ya walichagua sehemu zenye ushindani mkubwa na wamekosa nafasi sababu alama zao zilikua ndogo.