Sunday, September 7, 2014

MAMBO YA AZAM FC KAMA MBELE:TAZAMA PICHA ZA BASI LA AZAM LA KISASA KABISA NI SHIDAA AISEE

Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam. Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki.
Kitu cha maana
Kila siti ina TV
Kuna friji
Kuna choo
<<TAZAMA ORODHA YA WACHEZAJI HAWA MAARUFU NA MAGARI YA THAMANI WANAYOMILIKI >>