Sunday, September 7, 2014

TAZAMA ORODHA YA WACHEZAJI HAWA MAARUFU NA MAGARI YA THAMANI WANAYOMILIKI

Mwanasoka kutokea kameruni Sumuel Eto’o ambaye kwa sasa anachezea timu Anzhi Makhachkal FC ya Urusi ambayo analipwa Euro milioni 23.3. Anaendesha gari aina ya Bugatti Veyron. Yenye thamani ya dola milioni 2.6
David Beckham (Porsche 911 Turbo Cabriolet)
Mchezaji wa zamani wa real MADRID David Beckham ambaye pia nimchezaji wa zamani wa Los Angeles Galaxy. Anaendesha Porsche 911 Turbo Cabriolet. Ambayo inathamani ya dola laki 1 na 40 ambayo alienda kumpokea nayo mkewe kwenye kiwanja cha cha ndege los Angeles inasemekana gari hiyo kwa sasa ameshaiuza na kuhamia gari nyingine ambayo bado hawakuitaja ni ipi ?
Wayne Rooney (Lamborghini LP640 Murcielago)
Mchezaji wa Man U anaendesha gari aina ya Lamborghini LP640 Murcielago. Yenye thamani ya dola laki 3.4
Thierry Henry (Aston Martin Vanquish)
Stika wazamani wa kifaransa Thierry Henry anaendesha gari aina Aston Martin Vanquish ambayo mwaka 2007 ilikuwa ni chaguo la gari ya movie James Bond “Die Another Day” yenye thamani ya dola Laki 3.5
Cristiano Ronaldo (Audi R8)
Mwanasoka mwenye mafanikio mengi ambaye alikuwa anachezea Man U na sasa anachezea Real Madrid, anaendesha gari aina Audi R8 yenye thamani ya dola laki 2
Alessandro Del Piero (Fiat 500)
Mwanasoka wa italia Del Piero anaye endesha gari aina ya FIAT 500 yenye thamani yake inaanzia dola elfu $16,122 – $23,073 The “cinquecento” first made its name as a cheap and cheerful model for post-war Europe.
John Terry (Bentley Continental GT)
Kaptaini wa zamani wa Uingereza na mchezaji wa Chelsea John Terry anaendesha gari aina ya Bentley yenye thamani ya dola laki 1.8.
Didier Drogba (Mercedes SL65)
Ambaye alifanya timu yake ya zamani ya Chelsea kuchukua ubigwa wa Champion League mwaka huu zidi ya Bayern Munich anaendesha gari aina ya Mercedes SL65 ya silva yenye thamani ya dola laki 2, ambayo ina injini ya V12 yenye horse power ya 604 inayokimbia 60mph kwa sekunde 4.2
Rio Ferdinand (Bentley Arnage)
Mchezaji wa Man ambaye ashaingia mikasa mingi akiwa anaendesha gari. Gari analoendesha ni Bentley Arnage ambayo imebatizwa kwa jina la Straw berry Yogurt baada yakuinunua mwaka 2005 yenye thamani ya $211,990
Sol Campbell (BMW X5)
Ambaye alikuwa Benki wa Uingereza anaendesha gari aina ya BMW X5 yenye thamani ya dola $55,000
David James (Chrysler 300C)
Ni goli kipa wa uingereza ambaye anaendesha gari aina ya Chrysler 300c ambaye alitumia dola 4000 kwa ajili ya gari yake kutumia nishati ya mimea . gari yake inathamani ya dola $42170