Tuesday, October 14, 2014

HII NDIO PICHA KALI ZAIDI YA WEMA SEPUTU TANGU NIANZE KUMFAHAMU!!

Ameshapiga picha nyingi sana...lakini kwa upande wangu hii ni zaidi ya zote...kwamaana kwamba ameonekana ni MSUPA zaidi....yeah!! yaani amependeza kimavazi na sehemu aliopigia ndio balaa. ukizingatia hivyo vyote na umbo lake la Curve Curve......natamka kuwa this is the BEST photo of Wema...hehehe

Naaamini wengi mtakubaliana nani....Icheki hapa!!!