Saturday, October 4, 2014

HII NDO GARI AMBAYO JOSE CHAMELEON AMEMUACHIA MKE WAKE..CHEKI PICHA HAPA

j2Ni time nyingine ya kufahamu kutoka kwa staa wa muziki Afrika Mashariki Jose Chameleone ambae aliwahi kuwepo kwenye orodha ya Wanamuziki matajiri Afrika akiwa ni mwimbaji pekee alieiwakilisha Uganda kwenye hiyo list.
Ripota wa TZA (millardayo.com na AyoTV) Bill The African aliepo Uganda anaripoti kwamba Range Rover hii inayoonekana kwenye picha ni miongoni mwa magari ambayoJose Chameleone amekua akiyatumia ila siku chache zijazo huu mkoko utakua ukiendeshwa na mke wake.
j3Jose Chameleone ambae sehemu ya utajiri wake imetoka kwenye biashara za nyumba na viwanja pia mauzo ya simu za mkononi zenye jina lake,ee kazi na makampuni makubwa ya kibiashara…. amesema December 2014 siku itakapofanyika show yake ambayo kiingilioni ni shilingi Milioni moja za Uganda ndio gari lake jipya litaonekana mtaani.
j6
j1
Mke wa Jose Chameleone na mtoto wao
Amemwambia ripota wa TZA kwamba gari hilo jipya ni Range Rover ya mwaka 2013 ambayo itaonekana kwa mara ya kwanza usiku wa hiyo show yake.
Kwa mujibu wa mtandao hii ni range ya 2013, cha tuisubirie hiyo ya Doctor
Kwa mujibu wa mitandao hii ni range ya 2013, acha tuisubirie hiyo ya Doctor