Tuesday, October 14, 2014

JINI KABULA , KIPI SIJASIKIA...KABULA KAHABA, MARA KABULA MLEVI, HAYA SEMENI SASA NA HILI




UDAKU ...Kama upendi udaku Ishia hapa!!!.......
Muigizaji wa kike bongo movies JINI KABULA anaetumia jina la Kabulaflavour kwenye mtandao wa INSTAGRAM leo amefunguka hivi kuhusu wale wanaofuatilia maisha yake!!!

Kipi sijasikia...Kabula kahaba..Kabula mlevi..Kabula mgomvi..Kabula anaukimwi..na mengine mengi tu,naombeni mseme mapya nimechoka kusikia ya zamani na kama hamna mapya niacheni nipumzisheni nipumzike... Akaendelea nahii;

Ooooh mala nimefulia jamani naomba kuwaambia sijawahi kuwa Manji kwaiyo habari za kufulia sizijui wanao fulia ni wale ambao walishawahi kuwa matajiri sasa umeona wapi maskini naye kafulia..??? Hihihihihihi binadamu mnakazi sana nimemalizaaaa MY TAKE;
Mastaa wetu ni SHEEDAH!!