Saturday, October 25, 2014

MISS TANZANIA 2014 SITTI ABBAS MTEMVU AJIVUA TAJI...CHECK ALICHOKISEMA MWENYEWE HAPA

Status aliyopost Sitti Mtemvu Kwenye Mtandao Wa Facebook.
Kufuatia Malalamiko Na maneno mengi yanayoendelea mitaani na kwenye mitandao ya kijamii kumhusu Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu, yeye mwenyewe ameamua kufunguka na Kuandika Maneno hayo hapo juu kwa mashabiki zake.
-bongoswaggz